PICHA ZA VURUGU ZA POLISI NA CHADEMA NA KUUAWA KWA MWANDISHI WA HABARI HUKO IRINGA
Hapa polisi wakiwataka wafuasi wa Chadema kutawanyika eneo la tukio ofisi za Chadema Nyololo Mufindi
Mmoja wa askari wa kutuliza ghasia ffu akipita mbele ya ofisi za Chadema Nyololomuda mfupi baada ya kupiga bomu la machozi
Daud Mwangosi kulia enzi za uhai dakika 20 kabla ya kuuwawa kwake
Sehemu ya wafuasi wa chadema wakiwa kwenye ofisi za Chadema Nyololo
Polisi wakimshambulia Daud Mwangosi (aliyechini) |
Mwili wa mwanahabari Daud Mwangosi ukiwa chini
Sehemu ya magari matano ya Chadema yaliyoharibiwa vibaya kwenye vurugu hizo.Picha zote na Habari na Mdau Francis Godwin-Iringa
Post a Comment