ZAWADI TOKA KURASINI SDA CHOIR KWA AJILI YAKO
JE WEWE NI MIONGONI MWA WAFUATAO?
· JE UMEWAHI KUWA MWIMBAJI WA KWAYA YA KURASINI SDA?
· JE WEWE NI MWANANDOA AMBAYE MKE/MME WAKO AMEWAHI KUIMBA KURASINI SDA CHOIR?
· JE WEWE NI MWANAFAMILIA AMBAYE KWAYA YA KURASINI IMEWAHI KUHUDUMU KATIKA NDOA YAKO AU YA MTOTO/WATOTO WAKO AU KUTOA HUDUMA NYINGINE KATIKA FAMILIA YAKO?
· JE WEWE NI MWIMBAJI AMBAYE UMEOA/KUOLEWA UKIWA KWENYE KWAYA YA KURASINI?
· JE WEWE NI MWANANDOA AMBAYE MKE/MME WAKO ANAIMBA KURASINI SDA CHOIR?
· JE WEWE NI RAFIKI NA MPENZI WA KAZI YA MUNGU NA HUDUMA YA UIMBAJI?
IKIWA WEWE NI MIONGONI MWA WALIOTAJWA HAPO JUU
KURASINI SDA CHOIR WANAYO ZAWADI MAALUM KWA AJILI YAKO
USIKOSE KUHUDHURIA SIKU YA UIMBAJI (KWAYA DAY) ITAKAYOFANYIKA JUMAMOSI TAREHE 1, SEPTEMBA 2012 KANISANI KURASINI.
KWAYA NYINGINE ZITAKAZOHUDUMU NI PAMOJA NA:-
· KINONDONI SDA CHOIR,
· UBUNGO HILLS SDA CHOIR
· MAGOMENI SDA CHOIR
· VIKUNDI NI MARIAM SASSI NA JOSEPH OOLA
USIKOSE SIKU HII YA PEKEE AMBAYO HAIJAWAHI KUTOKEA,
NJOONI TUMSIFU MUNGU KWA NJIA YA UIMBAJI
Post a Comment