MKUTANO MKUBWA WA INJILI DAR ES SALAAM WAMALIZIKA JANA -JUNI 16,2012)
Miongoni mwa watu waliohudhuria Mkutano huo |
Baadhi ya waimbaji wa Kurasini SDA Choir hapa Lita Jonathan aliyeshika Mic ambaye ameanza tena kuimba na kwaya hiyo |
Mass Choir iliyoundwa na waimbaji wa kwaya za Temeke,Magomeni na Ubungo wakiimba |
Kinondoni SDA Choir |
Ambassadors Of Christ toka katika kanisa la Waadventista Wasabato Remera,Kigali Rwanda walikuwepo |
Ambassadors Of Christ baada ya kupewa zawadi ya Khanga |
Post a Comment