MTANGAZAJI

ZIARA YA AMBASSADORS OF CHRIST JIJINI DAR ES SALAAM,TANZANIA DEC,2011

Mwalimu wa Ambassadors of Christ Sozzi Joram akishuka toka garini na kuingia katika ukumbi wa Dimond Jubilee

Mchungaji Jonathan wa Union ya Rwanda ya Kanisa la Waadventista Wasabato ambaye aliongozana na waimbaji wa Ambassadors of Christ  akizungumza katika tamasha kushoto ni mfasiri Dr Mpoki

Mwimbaji wa sauti ya pili Kelly Ndanga akiimba

Mutebwa Pepe Patience(mwenye mic) na waimbaji wenzake

Jimmy na Sozzi Joram wakiiongoza nyimbo

Fundi Mitambo akiwajibika




Baadhi ya watu waliohudhuria Tamasha la Ambassadors of  Christ katika ukumbi wa Dimond Jubilee Disemba 4 mwaka huu


Sara Uwera na Furaha Sandrine wakiimba na waimbaji wenzao
Ambassadors of Christ wakirekodi nyimbo zao katika kanisa la Waadventista Wasabato Mwenge Dar es salaam ambazo zitakuwa zikirushwa na kupitia Hope Channel Intenational

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.