VIONGOZI WA CUF WALIPOFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS JAKAYA KIKWETE
Hivi karibuni viongozi wa Chama cha Wananchi CUF walikutana na Rais wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete vioongozi hao ni Naibu Katibu Mkuu wa CUF- Bara, Julius Mtatiro, Ismail Jussa (Naibu Katibu Mkuu Zanzibar), Abdul Kambaya (Mjumbe Baraza Kuu la Uongozi Taifa), Habib Mnyaa (Kiongozi wa Wabunge wa CUF), Mkiwa Kimwanga (Mbunge Viti Maalum CUF), Twaha Taslima (Mwanasheria na Wakili wa CUF)
Post a Comment