MTANGAZAJI

LULU ZA INJILI LEO

Kutoka kushoto ni Mjumbe wa Kwaya ya The Voice of Prophecy Samson Elias,Mtangazaji, Mlezi wa Kwaya ya The Voice of Prophecy ya Kasulu Kigoma Dr Gershom Yangwa na Baraka Mabula wakiwa ndani ya studio za Morning Star Radio 105.3fm mara baada ya mahojiano katika kipindi cha Lulu za Injili leo.

1 comment

Anonymous said...

Can I get the contacts of Baraka Mabula, please people.

Mtazamo News . Powered by Blogger.