TAMASHA LA UZINDUZI WA ACACIA SINGERS DAR ES SALAAM JANA
Kwaya ya Kanisa la Waadventista Wasabato Remera,Kigali Rwanda,Ambassadors Of Christ wakiimba pamoja na Acacia Singers toka Mwenge,DSM kwenye tamasha jana |
Voice of Victory toka Kanisa la Waadventista Wasabato Ushindi,Dar es salaam wakiwajibika jukwaani |
Mwalimu Sozi Joram akiwaongoza Ambassadors of Christ |
Triumph Generation wakiimba |
Ambassadors of Christ wakifuatilia tamasha |
Mmoja wa waimbaji wakutumainiwa wa Triumph Generation-Grace Mgeni akiimba |
Kutoka kushoto ni Mark (Mwimbaji wa Ambassadors of Christ),Mtangazaji Maduhu na Mtunzi wa nyimbo,Mwimbaji na Mwalimu wa Ambassadors of Christ- Sozi Joram |
Post a Comment