MTANGAZAJI ALIPOKABIDHI ZAWADI ZA CD ZA WAIMBAJI WA TRIUMPH GENERATION
Kwa mwaka huu wa 2011 kipindi cha Lulu za Injili kinachosikika Morning Star Radio 105.3 FM kwa kushirikiana na waimbaji tofauti tofauti wa nyimbo za Injili kitakuwa kikitoa zawadi mbali mbali kwa wasikilizaji,pichani ni baadhi ya wasikilizaji walioshinda zawadi za cd za nyimbo za injili za Triumph Generation na Kiburugwa SDA Choir
Post a Comment