MTANGAZAJI

MASAFA MAPYA YA MORNING STAR RADIO 105.3

MABADILIKO YA FREQUENCY YA HOPE CHANNEL INTERNATIONAL NA MORNING STAR RADIO 105.3FM

Mabadiliko ya masafa mapya ya kuipata Morning Star Radio kwenye Satellite kupitia hope Channel International

D/L {Downlink Frequency}:  4.0705 au 04070 MHz
SR {Symbol Rate}:       4.340 au 04.340 MSps
FEC {Forward Error Correction}: 3/4.
Polarity Vertical Horizontal.

Kwenye Remote ya king`amuzi bonyeza kitufe kinacho someka TV/Radio, utaipata Morning Star Radio 105.3FM Channel NO 62

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.