Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Morogoro wakiwa na ndoo tupu katika barabara ya forest wakati wakisaka maji kwa ajili ya kutumia mbalimbali kufuatia Manispaa hiyo kukumbwa na uhaba wa maji hali inayowalazimu wakazi kutafuta maji sehemu mbalimbali (credit:Juma Mtanda)
Post a Comment