NANENANE MOROGORO 2009
Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Pamba Tanzania, Dk Joe Kabissa akimuonyesha Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, John Magufuli takwimu mbalimbali zikiwemo za ghalama za ulishaji wa pamba kwa ekari wakati alipotembelea banda la bodi ya Pamba katika ufunguzi wa maonyesho ya wakulima kanda ya masharika uwanja wa Mwalimu Julias Nyerere Nane Nane mjini Morogoro.
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, John Magufuli (mwenye tai nyekundu) wa kwanza kulia akiangalia zao la pamba katika vipando vya bondi hiyo huku akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi mkuu wa bodi ya Pamba nchini Dk Joe Kabissa, katika ufunguzi wa maonyesho ya walimu kanda ya masharika uwanja wa Mwalimu Julias Nyerere Nane Nane mjini Morogoro.
Post a Comment