MTANGAZAJI

WEWE UMEFANYA NINI?

Napenda kuwatangazia ya kwamba nimefurahishwa sana na jitihada za makusudi zilizofanywa na Mchungaji kijana wa Kitunda jijini Dar es salam,David Mmbaga ambaye ni mmoja wa wadau katika suala zima la mawasiliano.

David Mmbaga ambaye ni miongoni mwa wachungaji wanaohubiri kwenye matangazo yetu amefanikiwa kuanzisha tovuti yake ambayo itampa nafasi kila mtu anayependa kuchangia mada

Sina shaka kuwa huyu atakuwa ni mchungaji wa kwanza katika kanisa la waadventista Tanzania kuanzisha tovuti yake na hii ni changamoto kwa wengine pia.

Mimi binafsi nampongeza sana katika hatua hii kubwa aliyoifanya hivyo usisite kutembelea tovuti yake ambayo ni :
http://www.sikikawaadventista.com/

1 comment

Unknown said...

Mungu azidi kumtangulia na kumtumia, ambariki na kumuwezesha katika yote.

Mtazamo News . Powered by Blogger.