ALICHOELEZA SHUHUDA WA KIFO CHA MTANZANIA NCHINI MAREKANI (+VIDEO)
Felix Audakx aliyekuwa ndugu na rafiki wa karibu wa Marehemu Allen Buberwa (22) Mtanzania aliyekuwa Mwanafunzi katika Chuo cha Arkansas aliyefariki dunia Mei 6 mwaka huu baada ya kuzama katika Mto Buffalo,anaeleza kuhusu tukio hilo.
Mwili Marehemu Allen unatarajiwa kusafirisha toka Washington DC Marekani kwenda Dar es salaam Tanzania jumanne hii kwa ajili ya maziko.
Post a Comment