DKT.JOHN POMBE MAGUFULI NA MKEWE MAMA JANETH WALIVYOSHIRIKI IBADA KANISA LA WASABATO MAGOMENI DSM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli na
Mkewe Mama Janeth Magufuli tarehe 02 Septemba, 2017 waliungana na
waumini wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato Magomeni
Mwembechai Jijini Dar es Salaam kuabudu
Post a Comment