DAR ES SALAAM:MAKAMBI YA KITUNDA 2017 JIJINI DAR ES SALAAM YAFUNGWA RASMI LEO
Dkt Mch Rabson Nkoko wa Kanisa la Waadiventista Wa Sabato ambaye ni Katibu Mkuu wa Jimbo Kuu la Kusini mwa Tanzania, akifanya maombi wakati akifunga makambi ya Kitunda 2017 jijini Dar es Salaam leo hii. Askofu Nkoko alikuwa mgeni rasmi.
Sonda ya Dillu toka Ukonga
Waimbaji kutoka Kanisa la Waadventista Wa Sabato Magomeni wakiwa kwenye hafla hiyo.
Kwaya ya Kitunda ikiwa katika hafla hiyo ya kufunga makambi.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kuratibu Makambi hayo, Mtumishi wa Mungu, Michael Masembejo akizungumza kwenye ibada hiyo.
Mchungaji, Lucas Mahangila akisoma neno la Mungu katika
ibada hiyo.
Kwaya zikiimba kwa pamoja katika ibada hiyo.
Mwalimu wa Kwaya ya Mtaa wa Kiyombo, Joshua John akiongoza uimbaji.
Viongozi wakiwa meza kuu.
Waumini wakiwa kwenye ibada hiyo.
Kwaya ya Mtaa wa Kitunda ikiwa kwenye ibada hiyo.
Dkt Mchungaji Rabson Nkoko wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato ambaye ni Katibu Mkuu wa Jimbo Kuu la Kusini mwa Tanzania, akikabidhiwa zawadi na muumini wa kanisa hilo.
Anord Mwapongo akiimbisha kwaya ya Magomeni
Watoto wakiombewa wakati wa kuwekwa wakfu.
Waumini walioamua kumpokea Yesu Kristo wakiwa mbele wakisubiri kuombewa na kupokelewa.
Post a Comment