DAR ES SALAAM:WAUMINI WA KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO WAHIMIZWA KUJITOKEZA KWA WINGI KESHO OKTOBA 24,2015 KUCHANGIA VYOMBO VYA HABARI VYA KANISA HILO
Waumini
wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato nchini Tanzania wametakiwa kujitokeza kwa wingi siku ya sabato ya kesho Oktoba 24,2015 kuchangia vyombo vya habari vya kanisa hilo Morning Star Radio
na Morning Star Television.
Mhazini wa Union ya Kusini Mashariki mwa Tanzania Jack Manongi ameiambia Morning Star Radio kuhusu muhimu wa vyombo vya habari katika kueneza utume wa kanisa hilo.
Manongi amewashukuru watu mbalimbali wanaojitokeza kuchangia vyombo hivi vya habari kwa kutoa fedha zao,kutangaza na
kudhamini vipindi mbalimbali katika vituo hivyo vilivyoko jijini Dar es salaam .
Post a Comment