MTANGAZAJI

LILIANE WA AMBASSADORS OF CHRIST AFUNGA NDOA

Mwimbaji wa sauti ya pili wa Ambassadors of Christ ya Rwanda Uwimbabazi Liliane amefunga ndoa leo na  Frederick Ntirenganya.

Liliane ni mshiriki wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato Remera ambapo ndoa yake ilifungwa alijiunga na kwaya ya Ambassadors of Christ mwaka1999 huku mumewe akiwa ni mshiriki wakanisa hilo toka Kigali Institute of Science and Technology

2 comments

Unknown said...

Mungu aliyewaunganisha katika ndoa takatifu yenye yeye mwenyewe kawa mwanzilishi pale edeni awajalie mema siku zote. Mpate kusikiza wimbo huu.. https://www.youtube.com/watch?v=qHYokRZI7kI

Magut Elvis said...

Mungu awaongoze kwa ndoa yenu

Mtazamo News . Powered by Blogger.