Machi 15 mwaka huu katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam kutakuwa na tamasha kubwa litakalowakutanisha waimbaji toka nchi saba za Afrika Mashariki na Kusini,tamasha hilo litafanyika kuanzia saa 3 asubuhi hadi saa 3 usiku.
Post a Comment