MOMBASA:MCH GEOFREY GABRIEL MBWANA YUKO MJINI MOMBASA,KENYA
Mch Geofrey Gabriel Mbwana akihubiri |
Glorious Singers wakiimba |
Makamu wa Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato Duniani Mch Geofrey Gabriel Mbwana yuko Mombasa nchini Kenya akiendesha mkutano wa injili unaoendesha na Kanisa hilo mjini humo wenye kauli mbiu ya Amani na Tumaini.
Mbwana ambaye alimaliza mkutano mwingine ambao ulikuwa ukirushwa moja kwa moja na Morning Star Televisheni nchini Tanzania anashirikiana na waimbaji mbalimbali nchini Kenya wakiwemo Glorious Singers
Post a Comment