ARUSHA:WAINJILISTI WATUNUKIWA VYETI
Mwenyekiti wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato Unioni Konferesi ya Kaskazini mwa Tanzania Dr Godwin Lekundayo (mwenye suti) amewatunuku Vyeti vya ufaulu Wainjilisti wapatao 26 waliokuwa wakipata mafunzo katika Kanisa la Waadventista Wa Sabato Njiro,Arusha ikiwa ni moja wapo ya mkakati wa namna bora ya kufanya uinjilisti katika miji mikubwa.
Post a Comment