KAZI YAANZA UNIONI YA TANZANIA KUSINI YA KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO
Viongozi wapya wa Union ya Tanzania Kusini wakiwa na viongozi wa
koferensi ya nyanda za juu kusini pamoja na viongozi wa mashariki mwa
Tanzania tarehe 12/11/2013 siku ya jumanne. Viongozi hao walikutana
katika ofisi za makao makuu ya kanisa la Waadventista wa Sabato Kusini
mwa Tanzania zilizopo Tegeta Dar es Salaam kama zinavyoonekana hapa
chini. Uchaguzi wa viongozi na watendakazi utafanyika tarehe 5 - 6
Disemba, 2013.
Post a Comment