MCHUNGAJI KIMBAWALA KUZIKWA LEO
Kwa masikitiko napenda kuwatangazia kuwa Mch Kimbawala aliyekuwa ameugua kwa muda mrefu amefariki juzi na atazikwa leo nyumbani kwake Visiga,Kibaha mkoani Pwani.
Blog hii inawapa pole wafiwa ndugu,jamaa na marafiki
Blog hii inawapa pole wafiwa ndugu,jamaa na marafiki
Post a Comment