MTANGAZAJI

MAKUNDI MAPYA YA UIMBAJI-MWANZA,TANZANIAKama kuna jambo
linalonifurahisha sana na kugusa maisha yangu hapa duniani ni nyimbo za injili.Hapa nchini Tanzania katika kanisa letu la waadvantista kuna waimbaji ambao Mungu amewabariki kuwapatia uwezo wa kutumia vipaji vyao vya uimbaji.
Makundi haya mawili yaliyopo katika kanisa la waadventista Kirumba,Mwanza.Amazing Grace(Chini)na The Chorus(Juu) hayana muda mrefu lakini yanakuja kwa kasi na tayali yameshawabariki wasikilizaji wetu wa AWR kwa nyimbo zao,endelea kutembelea tovuti yetu ya www.awr.org ili upate nyimbo za makundi haya.....The Peace mpooooooooooo......

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.