RAIS WA AFRIKA KUSINI JACOB ZUMA ALIVYOSHIRIKI KATIKA DHIFA YA KITAIFA ALIYOANDALIWA JANA USIKU NA RAIS WA TANZANIA
. Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma akizungumza katika Dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam |
Viongozi mbalimbali wa Kisiasa na Serikali
wakiwa katika Dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma
Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA ZOTE NA IKULU
|
Post a Comment