Mkurugenzi wa Masoko na
Utafiti wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya nchini Tanzania (NHIF) Rehani Athumani akifungua mafunzo ya bloggers kwa niaba ya Mkurugenzi wa NHIF kuhusu mpango wa bima ya Afya wa Kikoa ambayo inahusisha uchangiaji binafsi kwa watu watu walioko kwenye vikundi vinavyotambuliwa kisheria na wenye kipato cha msimu iliyoandaliwa na NHIF kwa kushirikiana na Mtandao wa Bloggers Tanzania (TBN) iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Baraza la Maaskofu Tanzania,Kurasini jijini Dar es salaam.
|
Post a Comment