MTANGAZAJI

PICHA:UZINDUZI WA SANTURI MWONEKANO YA TATU YA MBIU KWAYA TOKA TANDALE DAR ES SALAAM ULIVYOKUWA

Mbiu Kwaya wakiimba jukwaani
Mbiu Kwaya toka Tandale jijini Dar es salaam Machi 1,2015 walizindua toleo lao la Santuri Mwonekano yenye nyimbo 10 iitwayo Msitu wa Ajabu,tukio lililofanyika kwenye ukumbi wa Hotel ya Delu,ambapo jumla ya shilingi za kitanzania milioni 36 zilipatikanaMbiu Kwaya na Angaza Kwaya wakiingia ukumbini

Marry Mziray akisoma risala

Aliyekuwa Mgeni Rasmi  Selestin Olambo akizindua santuri hiyo


MC Samson Kibaso akiteta jambo na Mgeni Rasmi

The Wise Brothers waliimba

Joseph Oola naye alikuwepo

Alpha Melody


Waimbaji wakongwe Angaza wakiimba kwenye uzinduzi huo


Familia ya Injili toka Yombo

Jokeyo Singers kwaya inayoimba nyimbo za kiluo iliimba
Kwaya ya Uinjilisti Kijitonya KKKT wakiimba


Wapiga Vyombo wa Kijitonyama KKKT


The Light BearersNo comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.