ARUSHA:KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO LATOA MSAADA WA MASHUKA YA WAGONJWA KWA HOSPITAL YA MOUNT MERU
Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Vijana katika Kanisa la Waadventista Wa Sabato kanda ya Afrika Mashariki na Kati (ECD) Mchungaji Jean Peare Mulumba amekabidhi msaada wa mashuka 260 ya wagonjwa katika Hospitali ya Mount Meru kwa Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Arusha Jackline Urio jana katika hospitali hiyo ikiwa ni sehemu ya shughuli za matendo ya huruma zinazofanywa na kanisa hilo duniani kupitia idara ya vijana zitakazohitimishwa rasmi Machi 21 mwaka huu.
Chanzo: http://wazalendo25.blogspot.com
Post a Comment