HAPA NAPO VIPI?
Dr Ulimboka ambaye ni Kiongozi wa chama cha madaktari Tanzania na ambaye aliongoza mgomo wa kwanza wa madaktari kote nchini Tanzania akipelekwa Hospitalini MOI baada ya kutekwa na kupigwa na kutelekezwa porini na watu wasiojulikana.Picha hii inaonesha akiwa ndani ya gari na Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Tanzania Dr Hellen Kijo Bisimba
Post a Comment