MTANGAZAJI

CHUMBA CHA KUHIFADHIA MAITI MOROGORO

Chumba cha kuhifadhia maiti cha zamani


Chumba cha kuhifadhia maiti kinachojengwa

4 comments

Jeff Msangi said...

Mtangazaji,
Picha hii imenikumbusha mambo mengi sana.Nilisoma hapo Morogoro Secondary.Chumba hicho kipo pembeni tu ya shule.Kila mara zilipokuwa zikitokea ajali(na enzi hizo ajali zilikuwa nyingi kweli)tulikuwa tunatoka mkuki kwenda kuangalia jinsi ambavyo miili ilikuwa inaletwa.Mara nyingi tulikuwa tunaingia kujaribu kutambua miili na kuona kama kuna ndugu,jamaa au marafiki ambao wamepoteza uhai(Mungu awalaze pema peponi wote waliotangulia).

Nafurahi kuona kwamba chumba kingine kinajengwa kwani ni wazi kabisa kwamba chumba hicho cha zamani hakiwezi kukidhi mahitaji yote ya chumba cha maiti.

Anonymous said...

Predilection casinos? clinch this fresh [url=http://www.realcazinoz.com]casino[/url] advisor and wing it sound down online casino games like slots, blackjack, roulette, baccarat and more at www.realcazinoz.com .
you can also dilly-dallying our untrained [url=http://freecasinogames2010.webs.com]casino[/url] orientate at http://freecasinogames2010.webs.com and obtain immovable proficiently misled !
another late-model [url=http://www.ttittancasino.com]casino spiele[/url] within an eyelash of is www.ttittancasino.com , improve of german gamblers, indite in unrestrained online casino bonus.

Mzee wa Changamoto said...

Hahaha Jeff!!
Mnakimbilia kutambua miili??? Kazi kwelikweli.
Mama alikuwa akifanya Hospitalini hapo wakati tukiishi Moro. Enzi za mabasi ya "roho mkononi" yakichinjachinja kwa saaana. Na sijajua kwanini mpaka sasa hawakupanua. Na sijui kama hiyo picha inaonesha upanuzi mkubwa ki-hivyo. Ila nashukuru wamekumbuka kupanua jengo.
Swali ni kama ukubwa wa chumba waendana na mahitaji
Asante kwa kazi nzuri Kaka Maduhu

Anonymous said...

I love mtangazaji.blogspot.com! Here I always find a lot of helpful information for myself. Thanks you for your work.
Webmaster of http://loveepicentre.com and http://movieszone.eu
Best regards

Mtazamo News . Powered by Blogger.