MTANGAZAJI

UHABA WA MAJI MOROGORO

Wakazi wa kata ya Mazimbu mtaa wa Miembeni Chamwino katika Manispaa ya Morogoro wakiwa na ndoo na madumu wakati wakichota maji ambayo walikuwa wakiuziwa kwa sh 10 kwa ndoo na dumu moja kutokana na wakazi wengi kushindwa kumudu ghalama za kuvuta maji (Picha na Juma Mtanda)

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.