tag:blogger.com,1999:blog-2131534354600347204.post90626093586033228..comments2023-12-02T22:45:52.955-08:00Comments on Mtangazaji: DU!!! BIKIRA INAPOUZWA!!!!! DUNIANI KUNA MAMBOMADUHUhttp://www.blogger.com/profile/13459169769380181813noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-2131534354600347204.post-31359809927247904632010-02-24T04:34:58.327-08:002010-02-24T04:34:58.327-08:00Ni upuuzi, ushetani,wote wawili wanapaswa kuokoka ...Ni upuuzi, ushetani,wote wawili wanapaswa kuokoka na kuacha dhambi maana hukumu yao itakuwa kubwa kama wasipo tubuYesumfalmeblogspot.comhttps://www.blogger.com/profile/08055857771681392399noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-2131534354600347204.post-87457924534774192402009-06-11T18:30:05.067-07:002009-06-11T18:30:05.067-07:00kazi ipo, laana tupukazi ipo, laana tupuJrnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-2131534354600347204.post-4090809722474341782009-06-09T09:45:35.992-07:002009-06-09T09:45:35.992-07:00Jamani sasa dunia imeharibika watu wanathubutu had...Jamani sasa dunia imeharibika watu wanathubutu hadi kuuza ubiira na watu wananunua. kazi kwelikweli. lakini kwa nini asiolewwe tu, ina maana anaona pesa ni muhimu sana kuliko mwili wake ndio najua hana uwezo wa kusoma na kuisaidia familia yake lakini kuna njia nyingi za kutafuta pesa.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-2131534354600347204.post-63857913792644173002009-06-09T02:15:56.941-07:002009-06-09T02:15:56.941-07:00Jamani wadau hii ni halali kweli kuuza bikira pamo...Jamani wadau hii ni halali kweli kuuza bikira pamoja na kubanwa sana na hali ya maisha? Kwa kweli huyu bindi ana malengo mazuri lakini ametumia njia isiyo sahihi.Lakini nampongeza kwa kujitahidi hadi amempata mteja na kupata euro 10,000.Lakini sasa hajui jamaa atakavyo mfanyia sijui kama atamfanya kwa hasira ya pesa zake ATAJIJU MWENYEWEEEEEEEEEEE!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-2131534354600347204.post-77062954292035532202009-06-08T23:33:35.882-07:002009-06-08T23:33:35.882-07:00du! kumbe biashara ni matangazo nilikuwa sielewi l...du! kumbe biashara ni matangazo nilikuwa sielewi lakini dunia ya sasa kuna mabikira wachache ambao pia hawapendi kujitangaza kama vile watu wenye virusi vya ukimwi<br /><br />lakini nafikiri huyu dada ameamua kubikiriwa kwa sababu ya umasikini wake lakini ipo siko ambayo atajuta kwa kuuza ubikira wake kwa pesa na kwa mtu ambaye atakuwa siyo mume wakeAnonymousnoreply@blogger.com