tag:blogger.com,1999:blog-2131534354600347204.post7719997574190255141..comments2023-12-02T22:45:52.955-08:00Comments on Mtangazaji: WALIMU NCHINI KUAJIRIWA MOJA KWA MOJAMADUHUhttp://www.blogger.com/profile/13459169769380181813noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-2131534354600347204.post-44374950786672117062011-02-16T06:34:54.083-08:002011-02-16T06:34:54.083-08:00Bwana Mtangazaji,
Hii ni danganya toto tu ya seri...Bwana Mtangazaji,<br /><br />Hii ni danganya toto tu ya serikali baada ya kuona shule nyingi hazina walimu na wakati huohuo wao wamechelewa kuwaajiri walimu wengi. Ukweli ni kwamba hata miaka ya nyuma walimu wamekuwa wakiajiriwa bila usaili wowote maana hata mimi mwenyewe nilipewa kazi hiyo pasipo hata kuiomba. <br /><br />Wakati tunafikia mwisho wa kukamilisha shahada zetu, mwaka 2009, serikali ilitoa tangazo kuwa wanaotaka waombe kazi ya ualimu. Mimi sikuomba lakini walinipangia Mtwara (japokuwa sikwenda). Sasa hilo swala wanalosema eti watawaajiri walimu bila usaili, ni la kutapatapa tu. Waboreshe masilahi ya waalimu, hasa walio vijijini waone kama watu hawatakwenda kufanya kazi hiyo kwa moyo mmoja.Filipo Lubuahttps://www.blogger.com/profile/11215759514378989549noreply@blogger.com