tag:blogger.com,1999:blog-2131534354600347204.post4596870250779005960..comments2023-12-02T22:45:52.955-08:00Comments on Mtangazaji: DR MBAKI ATUNUKIWA TUZO MAREKANIMADUHUhttp://www.blogger.com/profile/13459169769380181813noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-2131534354600347204.post-82308429224773864242009-05-21T01:56:33.061-07:002009-05-21T01:56:33.061-07:00Natoa shukrani zangu za dhati kwa Dr Mbaki. kwani ...Natoa shukrani zangu za dhati kwa Dr Mbaki. kwani namfahamu vyema tangia akiwa katika chuo cha Ufundi Arusha, nikama tulikuwa majirani, Temekuwa tukisali kanisa moja, Burka Sda Church.

kweli ni mwimbaji mzuri nami niliwahi mpigia kinanda wakati fulani kanisani. Dr Mbaki ameleta changamoto kubwa kwa wanawake... Wanawake wajue wanaweza kila kitu. Nimefurahishwa sana sana na ushindi wake huu mkubwa kwa taifa letu la Tanzani. Taifa changa.

Mimi,

Emmanuel M. Kiondo
kiondo@in.comemantuhttps://www.blogger.com/profile/01638941054411130364noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-2131534354600347204.post-54949650138303070592009-05-21T01:40:30.224-07:002009-05-21T01:40:30.224-07:00Natoa shukrani zangu za dhati kwa Dr Mbaki. kwani ...Natoa shukrani zangu za dhati kwa Dr Mbaki. kwani namfahamu vyema tangia akiwa katika chuo cha Ufundi Arusha, nikama tulikuwa majirani, Temekuwa tukisali kanisa moja, Burka Sda Church.

kweli ni mwimbaji mzuri nami niliwahi mpigia kinanda wakati fulani kanisani. Dr Mbaki ameleta changamoto kubwa kwa wanawake... Wanawake wajue wanaweza kila kitu. Nimefurahishwa sana sana na ushindi wake huu mkubwa kwa taifa letu la Tanzani. Taifa changa.

Mimi,

Emmanuel M. Kiondo
kiondo@in.comemantuhttps://www.blogger.com/profile/01638941054411130364noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-2131534354600347204.post-79570808237452730572009-05-19T23:16:15.170-07:002009-05-19T23:16:15.170-07:00Dada mbaki ameonyesha changamoto kubwa sana ya eli...Dada mbaki ameonyesha changamoto kubwa sana ya elimu kwa wanawake hivyo wanawake hawatakiwi kubweteka kwani mafanikio hayaji bure bila ya kugangamala.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-2131534354600347204.post-66992977792232855772009-05-19T09:07:00.000-07:002009-05-19T09:07:00.000-07:00Hongera zake dada yangu huyu. Katika wanawake mash...Hongera zake dada yangu huyu. Katika wanawake mashujaa na wapiganaji I can say she's one of them. She deserves this. Hongera sana dada Mbaki.Anonymousnoreply@blogger.com