MTANGAZAJI

KWANZA PRODUCTION YAFANYA MAZUNGUMZO NA DR PATRICK NHIGULA KUHUSU BUNGE MAALUM LA KATIBA



Karibu katika mazungumzo na Dr Patrick Nhigula kuhusu mwenendo wa Bunge Maalum la Katiba na mwenendo mzima wa nchi ya Tanzania.
Huu ni mfululizo wa mazungumzo na watu mbalimbali kuhusu suala hili muhimu kwa mustakabali wa nchi ya Tanzania.
Karibu
Kwa maoni, tafadhali wasiliana nasi kwa barua pepe kwanzaproduction at gmail dot com

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.